sasa chakufanya download orca editor msi http://dl.dropbox.com/u/1471771/Wordpress/Orca.msi na baada ya kudownload install program hiyo na kisha fuata maelezo ya fuatayo . weka istalation ya bluestaks katika desk top yako na bofya botom ya kulia katika instalation ya bluestacks na bofya sehemu ya edit with orca kama unavyo ona katika picha hapo chini
na kisha italeta sura hii katika desk top yako
kisha bofya lunch condition naita leta sura hii katika desk top yako picha ya chini
kisha bofya installed or phisica memory >897 kama ilivyo katika picha hapo chini
kisha bofya botom ya kulia katika sehemu ya installed or phisica memory >897 na kisha bofya DROP ROW kisha bofya ok . nakama unatumia windows xp au vista unaweza kufuta baathi ya row nyingine. kisha bofya sehemu ya iliyo andikwa installExecute sequence karibu na lunch condition yaani sehemu ya tatu juu ya lunch condition kama ilivyo oneshwa katika picha hapo chini
kisha bofya file na kisha bofya save .
baaada ya kusave install programu yako ya bluestacks na baada ya kuinstall bofya sehemu ya search na andika whatsapp na baada ya kuandika whatsapp install na anza kutumia whatsapp nakama unapenda kutumia instagram search na furahia IMELETWA KWENU NA OMARI HAMISI MARANDA SOMO LIFUATALO NI JINSI YA KU CRASH YOU WAVE ILI UTUMIE BURE BILA YA KULIPIA NIULIZE SHALI KWA KUNI SMS 0718553004