ili uweze kudownload videos au audio kwenye yotube inakulazimu uwe na file ambalo litakulazimu uweze ku download kirahisi bila ya kupoteza wakati au unajuwa wengi hupenda kutumia browser kama opera mini , mozila na google cro ambayo hayakuwezeshi kudownload youtube au katika web mbalimbali sasa leo nina kuelekeza jinsi ya kudownload kwanza unatakiwa kuwa na browser ya torch au dragon leo nitaielezea torch browser kwanza unatakiwa kudownload torch kwa kutembelea torchbrowser.com baada ya kudownload install na baada ya kuinstall fungua browsea hiyo tembelea youtube.com na fungua vidoes uipendayo na itaonekana kama hapo chini
naukitizama vizuri baada ya kufungua videos utaona sehemu nayo mwekamweka tazama vizuri hapo chini
na sehemu ya media itabadilika na kuwa videos na kama ni audios itakuwa audos kama hapo chini
ukisha bofya sehemu inayo myekamyeka itaanza kudownload na kwasimu inawezekana
usikose kuniuliza swali lolote kama kunakitu kina kusumbua niulize nitakujibu na kama kunakitu kinakusumbua niulize kupitia msafiriyo@gmail.com au sms 0718553004 nitakujibu HASANTE KWA KUNITEMBELEA NI WAKO OMARI HAMISI MARANDA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni