Ijumaa, 14 Novemba 2014

JINSI YA KUTUMIA WHATSAP KWA KUTUMIA BLUESTACKS NA INSTALATIO YA BLUESTACKS KWA WINDOWS 7 ,XP NA VISTA

nakala iliyo pita nilizungumzia jinsi ya kutumia whatsapp kwa kutumia youwave na sasa nina zungumzia BLUESTACK kama nilivyo kuahidi bluestack nayo ni application ambayo husapoti andoid katika kompyuta kama ilivyo youwave sasa bofya hii link ili udownload bluestack na ukisha idownload fuata maelezo ya fuatayo bofya hapa ukisha download bluestacks install kwene kompyuta nyingine ambazo hard disk nindogo hukataa kuinstall na kukuandikia APPLICATION REQUIRES AT LEAST 1 GB OF PHISICAL MEMORY  
sasa chakufanya download orca editor msi http://dl.dropbox.com/u/1471771/Wordpress/Orca.msi na baada ya kudownload install program hiyo na kisha fuata maelezo ya fuatayo . weka istalation ya bluestaks katika desk top yako na  bofya botom ya kulia katika instalation ya bluestacks na bofya sehemu ya edit with orca kama unavyo ona katika picha hapo chini 
na kisha italeta sura hii katika desk top yako   
kisha bofya lunch condition naita leta sura hii katika desk top yako picha ya chini  
kisha bofya installed or phisica memory >897 kama ilivyo katika picha hapo chini 
kisha bofya botom ya kulia katika sehemu ya installed or phisica memory >897 na kisha bofya DROP ROW  kisha bofya ok  . nakama unatumia windows xp au vista unaweza kufuta baathi ya row nyingine. kisha bofya sehemu ya iliyo andikwa installExecute sequence karibu na lunch condition yaani sehemu ya tatu juu ya lunch condition kama ilivyo oneshwa katika picha hapo chini

 na kisha bofya sehemu iliyo andikwa check msisignature na bofya botom ya kuia na DROW ROW kisha bofya ok


kisha bofya file na kisha bofya save .
baaada ya kusave install programu yako ya bluestacks na  baada ya kuinstall bofya sehemu ya search na andika whatsapp na baada ya kuandika whatsapp install na anza kutumia whatsapp nakama unapenda kutumia instagram search na furahia IMELETWA KWENU NA OMARI HAMISI MARANDA SOMO LIFUATALO NI JINSI YA KU CRASH YOU WAVE ILI UTUMIE BURE BILA YA KULIPIA  NIULIZE SHALI KWA KUNI SMS 0718553004

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni