kwanza kabisa unata kiwa uwe na setup (ex) ya bluestacks au youwave leo nitaielezea youwave na nakala nyingine nitaielezea bluestacks youwave ni app ya android ambayo imeanzishwa kwa ajili ya kusupport android kwenye kompyuta yako . sasa chakufanya tembelea youwave.com na pofya download baada ya kudownload install baada ya kuinstall fungua na itaonekana hivi
kisha bofya view na baada ya kubofya view itaonekana kama hivi
kisha bofya tena view itaonekana kama hapo chini
baada ya hapo bofya online app na itaonekana kama hapo chini
na baada ya kubofya online app itaonekana kama hapo chini
kisha bofya whatsapp na itaone kana kama hapo chini
kisha ibofye whatsapp na ita load mpaka mia moja naikisha load mpaka mia moja
ibofye tena na anza kujisajili
usikose kuniuliza shali kama utapata tatizo lolote hasante kwa kuni tembelea BY OMARI HAMISI MARANDA
BRO NIMEFANYA KAMA ULIVO SEMA HAPO KWENYE MAELEKEZO NA IMEKUBALI LAKINI TATIZO NI PALE NINAPO TAKA KUJISAJILI WHATSAPP NINAPO ANZA TU KUFATA MAELEKEZO YA KUJISAJILI INAKA INAOMBA UANZE TENA KUDOWNLOAD MPAKA ICOMPLETE 100 IKIFIKA 100 NIKIANZA KUFATA MAELEZO YA KUJISAJILI INAKATA TENA MSAADA WAKO BROH
JibuFuta