Alhamisi, 13 Novemba 2014

jinsi ya kutumia whatsapp viber na app nyingine kwenye kompyuta

ili uweze kutumia whatsap kwenye kompyuta yako lazima uwe na program ambayo itakuwezesha kusupport app hiyo nirahisi kutumia whatsapp kwenye kompyuta unacho takiwa ni kufuata maelezo ya fuatayo

kwanza kabisa unata kiwa uwe na setup (ex) ya bluestacks au youwave leo nitaielezea youwave na nakala nyingine nitaielezea bluestacks        youwave ni app ya android  ambayo imeanzishwa kwa ajili ya kusupport android kwenye kompyuta yako . sasa chakufanya tembelea youwave.com na pofya download baada ya kudownload install baada ya kuinstall fungua na itaonekana hivi

kisha bofya view na baada ya kubofya view itaonekana kama hivi

kisha bofya tena view itaonekana kama hapo chini

baada ya hapo bofya online app na itaonekana kama hapo chini

na baada ya kubofya online app itaonekana kama hapo chini

kisha bofya whatsapp na itaone kana kama hapo chini

kisha ibofye whatsapp na ita load mpaka mia moja naikisha load mpaka mia moja
ibofye tena na anza kujisajili

usikose kuniuliza shali kama utapata tatizo lolote hasante kwa kuni tembelea BY OMARI HAMISI MARANDA

Maoni 1 :

  1. BRO NIMEFANYA KAMA ULIVO SEMA HAPO KWENYE MAELEKEZO NA IMEKUBALI LAKINI TATIZO NI PALE NINAPO TAKA KUJISAJILI WHATSAPP NINAPO ANZA TU KUFATA MAELEKEZO YA KUJISAJILI INAKA INAOMBA UANZE TENA KUDOWNLOAD MPAKA ICOMPLETE 100 IKIFIKA 100 NIKIANZA KUFATA MAELEZO YA KUJISAJILI INAKATA TENA MSAADA WAKO BROH

    JibuFuta